Wakaazi wa Trans Mara Kusini wapongezwa kwa kudumisha amani

Katibu mkuu katika Idara ya Utalii  na Wanyamapori, John Olotuaa amewapongeza wakaazi wa Trans Mara Kusini kwa kudumisha amani akibainisha kuwa maelewano miongoni mwa jamii tofauti tofauti ni muhimu kwa maendeleo endelevu na kuboresha maisha yao pia. Akizungumza wakati wa shughuli ya ugavi wa chakula katika eneo la Angata Barakoi kwa waathiriwa wa vurugu lililotokea...

What's Your Reaction?

like

dislike

love

funny

angry

sad

wow